Uchovu wa Ghafla, Mkazo wa Kazini, na Waswasi wa Afya: Je, Ni Dalili za Kisaikolojia au Ugonjwa?
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi na ninakumbana na hali ya kupoteza hamu ya kula, kuchoka kwa haraka na kupata wasiwasi usiku kabla ya kufanya kazi za shule zinazohitaji muda mfupi. Siku zote ninaji...