Nahisi Upweke Mkubwa Hata Nikiva Kati ya Watu - Ni Tatizo Gani?
Nimekuwa nikihisi upweke mkubwa hata kati ya watu. Siku zote niko peke yangu kwenye ofisi yangu, na hata nyumbani, mke wangu na watoto wanaonekana kama wageni. Ninaweza kuwa kwenye mkutano na watu wen...